MCHEZAJI wa Timu ya Wawi Star Rashid Saleh (Kulia)
akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Timu ya Jamhuri Abdull Mahfoudh, wakati wa
mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, Jamhuri kushinda bao 2-0 mchezo
uliopigwa uwanja wa Gaombani(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MLINDA Malango wa Timu ya Jamhuri Abdulatif Said,
akijiandaa kuruka juu kudaka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar
kanda ya Pemba, Jamhuri kuibuka na ushindi wa bao 2-0 mchezo uliopigwa Uwanja
wa Gombani(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
MCHEZAJI wa Timu ya Jamhuri Ahmed Ali akitafuta
mipango ya kumtoka mchezaji wa Timu ya Wawi Star, wakati wa mchezo wa ligi kuu
ya Zanzibar Kanda ya Pemba, Jamhuri kuibuka na ushindi wa bao 2-0 mchezo
uliopigwa uwanja wa Goambni(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WACHEZAJI wa Timu ya Wawi Star na Jamhuri wakiamulia
baada ya kutokea sintofahamu ya kutaka kupigana wakati wa mchezo wa ligi kuu ya
zanizbar kanda ya Pemba, mchezo uliopigwa katika dimba la Goambani(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WACHEZAJI wa Timu ya Jamhuri wakimpongeza mchezaji
mwenzao Khamis Abrahman mwenye para, baada ya kuipatia timu yake ya bao la Pili
katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, baina ya Wawi Star na
Jamhuri, matokeo jamhuri kuibuka na ushindi wa bao 2-0(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment