Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Askofu Mkuu Mteule wa
Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa kabla ya kwenda kusimikwa rasmi kuwa Askofu
Mkuu wa Kanisa hilo mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Askofu Mkuu Mteule wa
Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara baada ya kuwasili Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Askofu
Mkuu mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa
aliyeambatana na mke wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda Dodoma
kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Saba
wa Kanisa hilo nchini.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment