Wananchi wa Zanzibar na Viongozi wa Dini wakishiriki katika Iftar ilioandaliwa na Benki ya KCB Tawi la Zanzibar kwa Wateja wake iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Wananchi Visiwani Zanzibar wakishiriki katika kupata Iftar ilioandaliwa na KCB Benki Tawi la Zanzibar kwa ajili ya wao Kisiwani hapa iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

Uongozi wa Benki ya KCB wakijumuika na Wateja wao wa Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar katika Iftar ilioandaliwa na KCB Bank kwa ajili ya Wateja wao wa Kisiwani Zanzibar.
Wananchi wa Visiwani Zanzibar wakipata Iftar ilioandaliwa na Tawi la KCB Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Bank Ndg.Cosmas T.Kimario akizungumza na kutowa shukrani kwa Wananchi wa Zanzibar na Wateja wao wakati wa hafla ya Iftar ilioandaliwa maalum kwa ajili yao iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar. na kuelezea huduma zinazotolewa na KCB Bank katika benki .
Mkuu wa Huduma za Sahl (Islamic ) KCB Sahl Banking Rashid Rashid akitowa maelezo na faida ya huduma za benki hiyo kwa Wateja wao wakati wa hafla ya Iftar ilioandaliwa na KCB Tawi la Zanzibar katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Meneja Mkuu wa KCB Bank Tawi la Zanzibar Rashid Mshana akitowa neno la shukrani kwa Wateja wao na Wananchi walioshiriki katika hafla ya Iftar iliowandalia wateja wake wa Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Sheikh Khamis Mataka akitowa neno la shukrani na kusoma dua baada ya kumalizika hafla hiyo ya Iftar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

No comments:
Post a Comment