Habari za Punde

Wanaharakati Zanzibar Wafanya Majadiliano Kuhusiana na Hali ya Udhalilishaji wa Watoto na Wanawake Zanzibar. Yalioandaliwa na TAMWA Zanzibar.

Mratibu wa Miradi TAMWA Zanzibar Bi. Haura Shamke akifungua Majadiliano hayo ya kuzungumzia hali ya Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar yalivyofikia, Mkutano huo umeandaliwa na Tamwa Zanzibar kupitia Mradi wake wa Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar.Mkutano huo umewashirikisha Wanaharakati kutoka Mikoa ya Unguja Walimu wa Madrasa, Masheikh, Waandishi wa Habari na Wanaharakati Wanawake Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Mtamwa Tunguu Zanzibar   


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.