6/recent/ticker-posts

Kutoka Mnadani Marikiti Kuu Darajani Zanzibar.

Wachuuzi wa Samaki Kisiwani Zanzibar wakiwa katika Mnada Marikiti Kuu Darajani wakifuatlia mnada huo wakati kunadiwa samaki wa aina mbalimbali waliofikishwa katika marikiti hiyo kwa ajili ya kuuzwa kwa wateja. Katika mnada huo bei ya samaki imefika shilingi 30,000/= kutegemea aina na ukubwa wa samaki.

Post a Comment

0 Comments