Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Ujumbe wa Madaktari Kutoka China Ikulu Zanzibar Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimsikiliza Dk.Wang Hao kiongozi wa Madaktari waliomaliza muda wao kazi hapa Nchini walipofika kumuaga Rais leo katika Ukumbi wa Ikuklu Mjini Zanzibar wakiongozwa na  Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang (katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Kutoka Nchini China waliofika kumuaga na kujitambulisha leo wakiongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang(wa tatu kulia) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Miongoni mwa Madaktari Kutoka Nchini China wakimskiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari hao ulioongozwa na  Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang (hayupo pichani)  ambao walifika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar na wengine kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wao wa kazi walizopangiwa hapa Nchini
Baadhi ya Madaktari wapya Kutoka Nchini China wakimskiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari hao ulioongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang (hayupo pichani)  ambao walifika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar,ambao watapangiwa kutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Unguja na Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (wa pili kushoto) akiwa katika picha na  Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang(kulia) pamoja na Kiongozi wa Madaktari waliomaliza muda wa kazi Dk.Wang Hao (kushto) na Dk.Zhang Zhein Kiongozi wa Madaktari wapya kutoka China baada ya mazungumzo  waliofika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na  Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang baada ya mazungumzo akiwa na ujumbe wa Madaktari waliomaliza muda wa kazi na Madaktari waliofika kujitambulisha leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 25/06/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.