Habari za Punde

Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, Akiwa Katika Ziara Yake Kisiwani Pemba Kuzungumza na Walimu.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungunza na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Wingwi Wilaya ya Micheweni katika ziara ya kuangalia
maendeleo ya ufundishaji .
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg. Abdallah Mzee akizungumza wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Kisiwani Pemba.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na Waalimu wa Skuli ya Sekondari Wingi na Tumbe, wakati wa Ziara yake ya kuangalia maendeleo ya ufundishaji katika Skuli hizo. 

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na Waalimu wa Skuli ya Sekondari Wingi na Tumbe, wakati wa Ziara yake ya kuangalia maendeleo

ya ufundishaji katika Skuli hizo.
 (Picha na Habiba Zarali - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.