Habari za Punde

Open Cup Wilaya ya Mji Mchezo wa Basketi Ball Kati ya African Magic na Sixas Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Maisara Timu ya African Magic Imeshinda Kwa Vikapu 75 - 52.

 Kocha Mkuu wa Timu ya African Magic akitowa maelekezo kwa Wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya 3 ya mchezo huo wa Kombe la Wazi kwa Wilaya ya Mjini Mchezo Uliofanyika maisara Timu ya African Magic imeshinda kwa Vikapu 75 - 52.
 Kocha Mkuu wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Sixas akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu ya mchezo huo wakiwa nyuma kwa vikapu 55 - 40.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.