Habari za Punde

Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini  kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/201
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na  Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM  Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini  kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018. 

MKE wa Rais  wa Zanzibar  Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na  Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM  Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini akiungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.   

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na  katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini  kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na   Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud    katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini  kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.
VIONGOZI mbali mbali wakimpungia mkono wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein     katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini  kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.