Habari za Punde

Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China

 Waziri wa  Ujenzi  Mawasiliano na Usafirishaji  Mhe Dk Sira Ubwa Mamboya akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dk Khalid Salum Mohammed wakiweka alama katika mkuku wa Meli mpya  Mafuta ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  katika eneo Maalum la utengenezaji Meli ya Kampuni ya DAMEN ya Uholanzi katika Mji wa Yichang, Hubei China
 Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dk Khalid Salum Mohammed ( wa Kwanza Kulia) akifuatiwa na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk Sira Ubwa Mamboya. Wengine ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe Said Hassan, Katibu ( Mtendaji Tume ya Mipango, Juma Reli na Katibu Mkuu Wizara Fedha na Mipango, Khamis Mussa.(Mbele kabisa) ni Katibu Mkuu Wizara Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dk Khalid Salum Mohammed ( Kulia) akiongoza Ujumbe wa SMZ katika sherehe za ukataji vyuma na kuviunganisha kuwekwa mkuku katika Meli mpya ya Mafuta ya Serikali. ( Katikati)ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk Sira Ubwa Mamboya na ( Kushoto) Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe Said Hassan wakiwa Nchini China ambapo Meli hiyo inayotemgenezwa na Kampuni ya DAMEN ya Uholanzi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.