Habari za Punde

Vijana Kisiwani Pemba Wahamasishwa Kujiunga na Elimu ya Juu na Vyuo Vya Amali Zanzibar.

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Ndg.Rashidi Hadid Rashid,akiwahutubia Vijana Wilaya ya Chake Chake Pemba na kutowa nasaha zake wakati akifungua Kongamano la Vijana Kuwahamasisha Kujiunga na Elimu ya Juu na Vyuo Vya Amali Zanzibar kupata elimu ya Ujasiriamali, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Maktaba kuu ya Pemba
VIJANA wa mikoa miwili ya Pemba wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa kongamano la uhamasishaji vijana kuweza kujiunga na vyuo vya mafunzo ya Amali, kongano hilo limefanyika katika Ukumbi wa Maktaba Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman -Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.