Habari za Punde

Wa Wa wa wa Forodhani Kuchele Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar.

Muonekano wa Bustani ya Forodhani wakati wa usiku kwa Wageni na Wananchi wa Zanzibar wanaofika katika bustani hizo kwa kupata viburudisho vya Aina mbalimbali  vynye asili ya Zanzibar na asili ya bahari. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.