Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Sweden
hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatambulisha
Baadhi ya Viongozi (hawaonekani pichani ) kwa Balozi wa Sweden hapa nchini
anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Sweden hapa
nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mchumi kutoka Ubalozi wa Sweden True
Schedvin
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Balozi wa
Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mchumi kutoka Ubalozi wa
Sweden True Schedvin
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi
Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi
wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Malawi
anayemaliza muda wake hapa nchini Hawa Olga Ndilowe mara baada ya mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi Balozi wa Malawi
anayemaliza muda wake hapa nchini Hawa Olga Ndilowe mara baada ya mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment