Habari za Punde

Wachezaji wa Timu ya Simba Sc Nyoni, Dilunga,Ndemla na Kagere Waaza Mazoezi Nchini Uturuki leo.

Wachezaji wa Timu ya Mabingwa wa Tanzania Bara Simba Sports Club Erasto Nyoni, Hassan Dilunga, Said Hamisi Ndemla na Meddie Kagere, Waungana na Wachezaji wenzao Nchini Uturuki wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa ni Michuano ya Ligi Kuu la Tanzania Bara inayotarajiwa kutimua vumbi mwezi ujao.
Wachezaji hao wamewasili Nchini Uturuki leo mchana na Ndege ya Shirika la Ndege la Turkish Airlines na kuungana na Wachezaji wazao katika mazoezi hayo. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.