Habari za Punde

Mabingwa wa Tanzania Simba SC Yatoka Sare na Timu ya Mouloudia Oujda Mchezo Uliofanyika Katika Uwanja wa The Green Park .Uturuki. Zimetoka Sare ya Bao 1-1.

Simba SC na Mouloudia Oujda uliopigwa katika kiwanja cha hoteli ya The Green Park kilichopo katika mji mdogo wa Kartepe hapa Kocael, Uturuki.

Goli la Mouloudia Oujda lilifungwa dakika ya 55 na goli la Simba lilifungwa na Adam Salamba dakika ya 58.
Katika dakika ya 56 mvua kubwa ilianza kunyesha wakati mchezo ukiendelea na hivyo ilipofika dakika ya 61 mwamuzi alisimamisha mchezo na dakika ya 65  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.