Habari za Punde

Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar

 Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis  akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.

 Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis  wapili kulia akipatiwa maelezo na Mkuu wa Huduma za Elimu Makumbusho Mw.Ramadhan Ali Machano katika Ufunguzi wa  Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.

 Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano akitoa hotuba yake katika  Ufunguzi wa  Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.

  Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Ufunguzi  wa  Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.kulia yake ni Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ZSSF Dk,Suleiman Rashid.

Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis katikati akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa na Wafanyakazi wa ZSSF  katika   Ufunguzi wa  Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.