Habari za Punde

Marafiki Wasio wa Kawaida Kwenye Makao ya Wanyama Beijing

Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya kuwatunza wanyama Beijing -Mtoto wa mbwa na wa chui milia.
Picha za watoto wa wanyama wakicheza pamoja kwenye makao ya wanyamapori mjini Beijing zimefurahisha wengi mitandaoni.
Picha hizo zilizipigwa Alhamisi zinoanyesha watoto wa mbwa wakicheza pamoja na wale wa simba na wa chui milia.
Wote hao walinyonyeshwa na mbwa baada ya watoto 8 wakiwemo wa chui milia, fisi na simba kutelekezwa na mama zao.
Wamekua pamojana sasa wao ni marafiki wakubwa.
Picha hizo zimesambazwa sana kwenye mtandao wa twitter.
Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya kuwatunza wanyama Beijing.
Mto wa simba na wa chui milia marafiki wakiwa katika mchezo wao bila ya kujali tafauti zao na kuwa marafiki katika makamo ya wanyama yalioko nchini Beijing.
Wageni wakiwapiga picha ya wanyama hao walio na urafiki katika sehemu hiyo ya maonesho ya wanyama.
Watato wa mbwa na wa chui milia

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.