Habari za Punde

Rais Dk Shein mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa Chamanzi Wilaya ya Magharibi

 Miongoni mwa Nyumba za Kisasa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”  ambazo leo  jumla ya Nyumba 60 zimekabidhiwa katika sherehe za uzinduzi rasmi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) [Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maopinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi hati ta Nyumba kwa Bibi Yasmin Din na Mumewe Khalil Din wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo badilishana mawazo nkutok kwa Bw.Khalil Din baada ya kumkabidhi hati ta Nyumba wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipotembelea Nyumba ya Bw.Khalil Din ikiwa ni miongoni mwa Nyumba Sitini  zilizokabidhiwa wakati wa  Uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa mashujaa wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

 Wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi  wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake,[Picha na Ikulu].18/08/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.