Habari za Punde

Mkutano wa Biashara na Uwekezaji Sekta ya Utalii Zanzibar.

Tunawakumbusha wale wote wanao taka kushirik katika mkutano wa biashara na uwekezaji katika sekta ya utali uitwao zanzibar beautification summit utakao fanyika trh 16_20/8/2018 golden tulip hotel znz,..trh ya mwisho kwa washirik tareh 6/8/2018.kwa usajili pia wanafunz wa vio vikuu nk wanakaribishwa kwa offa malum kwa maelezo zaid piga no hii +255657147887 au +2556522154845. Newvisionconsortiumtrainers@gmail. Com karibun sana.utalii kwa wote .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.