Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Yussuf Makamba Afanya Ziara Kijiji cha Kizimkazi Mkunguzi leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Yussuf Makamba akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Kijiji cha Kizimkazi Mkunguni kwa ziara yake na kuzungumza na Wananchi, ikiwa ni katika shamrashamra za kuadhimisha Siku ya Kizimkazi Day inayotarajiwa kufanyika kesho katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Kizimkazi. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Yussuf Makamba akisalimiana na Viongozi na Wazee wa Kizimkazi alipowasili katika viwanja vya Tawi la CCM Kizimkazi Mkunguni akiwa katika ziara yake na kuweka Jiwe la Msingi Skuli ya Maandalizi ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Siku ya Kizimkazi Day huadhimishwa kila mwaka katika mwezi wa 8. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Yussuf Makamba akisalimiana na Viongozi na Wazee wa Kizimkazi alipowasili katika viwanja vya Tawi la CCM Kizimkazi Mkunguni akiwa katika ziara yake na kuweka Jiwe la Msingi Skuli ya Maandalizi ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Siku ya Kizimkazi Day huadhimishwa kila mwaka katika mwezi wa 8. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.