Wananchi wakati katika viwanja vya Mnara wa Mapinduzi Square Michenzani wakati wa kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj kwa baadhi ya Wananchi walisherehekea katika viwanja hivyo kwa mapumziko na kupata viburudisho vya aina mbalimbali viliokoweko katika viwanja hivyo.
Mandhari inavyoonekana wakati wa usiku katka viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment