Habari za Punde

Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said alipowasili katika eneo la Tunguu kunakotarajiwa kujengwa Jengo la Kisasa la Mahkama Kuu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakati alipowasili katika eneo hilo kuangalia matayarisho ya Ujenzi wa jengo la Mahkama Kuu Zanzibar katika eneo la Tunguu Zanzibar. Mkuu wa Mkoa wa Kusin Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan (kushoto) (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri na Waziri wa Ardhi,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Talib
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiuliza suala kwa Mkurugenzi Mipango Miji katika Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Dkt.Mohamed Juma Mohamed alipotembelea katika   Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar huko Tunguu Wakiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya leo,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.