Habari za Punde

Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar kikitumbuiza katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia

 MSANII Saada Mohammed Bakari kutoka Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar, akitumbuiza kwa Wimbo wa Mpewa hapokonyeki katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning, Jimbo la Guangxi Nchini China.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
 WASANII kutoka Zanzibar, wakitumbuiza kwa ngoma ya Kidumbaki katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning, Jimbo la Guangxi Nchini China.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

 RAIA wa China waliofika katika Banda la Tanzania wakiangalia burudani ya Kidumbaki katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning, Jimbo la Guangxi Nchini China.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

MSANII Makame Faki kutoka Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar, akitumbuiza kwa Wimbo wa Njoo mpenzi katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning, Jimbo la Guangxi Nchini China.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.