Habari za Punde

Mabanda ya Maonesho ya Zanzibar Katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa Nchini China. Zanzibar Yatangaza Bidhaa Zake Nchini China Zavutia Wananchi Wengi.

MFANYAKAZI wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), Rahima Ali Bakar akieleza kazi zinazofanywa na taasisi hiyo wakati wa Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo
MFANYAKAZI kutoka Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC), Ali Hilali akitoa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na zstc , wakati wa wa Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo
WAFANYAKAZI kutoka Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) wakielezea kazi zinazofanywa na zfda, wakati wa Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo
MFANYAKAZI kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA) Ali Abdul Gulam akitoa maelezo ya kazi za Mamlaka hiyo wakati wa Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo
MFANYAKAZI wa Wizara ya Biashara na Viwanda akitoa maelezo kwa wageni waliofika katika banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo.
 WACHINA wakinunua bidhaa kwa mjasiriamali, Sharifa Juma Mohammed (Sherry Hinna) katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo
 MKURUGENZI wa Masoko kutoka Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Dk. Miraji Ussi akigawa vipeperushi vyenye kuelezea vivutio vinavyopatikana katika visiwa vya Zanzibar, katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo
MKURUGENZI wa Masoko kutoka Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Dk. Miraji Ussi akigawa vipeperushi vyenye kuelezea vivutio vinavyopatikana katika visiwa vya Zanzibar, katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo 

MKURUGENZI wa Idara ya Utalii kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Deograsias Mdamu akiwaelezea wachina waliofika katika Banda la Tanzania, bidhaa mbalimbali zinazopatikana Nchini Tanzania wakati wa Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia yanayohusu Utalii na Uwekezaji (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning katika Jimbo la Guangxi Nchini China. Ambapo Tanzania ni Nchi mshirika wa maonesho hayo.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.