Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe Omar Khamis Othman Afungua Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Maofisa wa KMKM Kisiwani Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othmana, akifungua kikao cha kujenga uwelewa kwa watendaji wa SMT na SMZ juu ya marekebisho ya sheria ya KM KM namba 1 ya mwaka 2003, ambayo imefanyiwa marekebisho na kuanza kutumika mwaka Julai 3 mwaka 2018 hafla iliyofanyika Mjini Chake Chake
Mwanasheria wa KM KM Zanzibar LCDR Ismail Kaaya, akiwasilisha mada ya uchambuzi wa sheria ya KM KM Namba 1 ya 2003 kuhusiana na kosa la magendo na udhibiti wake,  ambayo imefanyiwa marekebisho na kuanza kutumika mwaka Julai 3 mwaka 2018 hafla iliyofanyika Mjini Chake Chake
Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pemba Omar Khamis Othman katikati, kulia ni mkuu wa Wilaya ya Mkoani Issa Juma Ali na kushoto ni Afisa mdhamini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalumu za SMZ Juma Nyasa Juma na LCDR Hassan Hussein kutoka KM KM, wakifuatilia kwa makini uwelezaji wa sheria namba 1 ya 2003 iliyofanyiwa marekebisho na kutumika 2018, hafla iliyofanyika Mjini Chake Chake
Mwanasheria wa KM KM zanzibar CDR Juma Saleh Seif, wasilisha mada ya kazi na uwezo wa KM KM katika ukamataji na changamoto katika utekelezaji wake, hafla iliyofanyika Mjini Chake Chake
Katibu Tawala Mkoa wa kusini Pemba Yussuf Mohamed Ali, akichangia katika kikao cha pamoja na watendaji wa SMT na SMZ  juu ya marekebisho ya sheria ya KM KM namba 1 ya mwaka 2003, ambayo imefanyiwa marekebisho na kuanza kutumika mwaka Julai 3 mwaka 2018 hafla iliyofanyika Mjini Chake Chake. 
WATENDA mbali mbali wa SMT na SMZ wakiwa kifuatlia kwa makini hutuba ya Mkuu wa Koa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman,  juu ya marekebisho ya sheria ya KM KM namba 1 ya mwaka 2003, ambayo imefanyiwa marekebisho na kuanza kutumika mwaka Julai 3 mwaka 2018 hafla iliyofanyika Mjini Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman -Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.