Habari za Punde

RAIS DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAMADI MKOANI SIMIYU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018
Naibu Waziri wa Madini Dotto Biteko akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jaffo akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu

Wananchi wa Lamadi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza nao akitokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
 Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.