Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli Atangaza Siku Nne za Maombolezi Kuazia leo Kufuatilia Ajali ya Kuzama Kwa Kivuko Cha MV Nyerere Katika Ziwa Victoria Ukerewe Mkoani Mwanza.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusiana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake  kati ya kisiwa cha  Bugolora na Ukara katika ziwa Victoria  Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo  watu 131 wanahofiwa kupoteza maisha. Pia Rais Dkt. Magufuli ametangaza siku nne za Maombolezo kuanzia leo tarehe 21 Septemba 2018. 
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.