Habari za Punde

Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Itolwa, Kata ya Jangalo Wilayani Chemba, kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata hiyo,
 Wananchi wa kijiji cha Itolwa,Kata ya Jangalo Wilayani Chemba, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata hiyo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge, akizungumza na wananchi wakijiji cha Itolwa, Kata ya Jangalo Wilayani Chemba, kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.
 Wananchi wa kijiji cha Itolwa,Kata ya Jangalo Wilayani Chemba, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata hiyo
 Wananchi wa kijiji cha Itolwa,Kata ya Jangalo Wilayani Chemba, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata hiyo


Wananchi wa kijiji cha Itolwa,Kata ya Jangalo Wilayani Chemba, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata hiyo, Septemba 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.