Habari za Punde

Tungule zashamiri msimu huu kisiwani Pemba

BIDHAA za Tungule zimeonekana kushamiri kwa kasi katika kipindi hiki Kisiwani Pemba. Pichani wananchi wakivuna tungule katika moja ya mashamba yao, huko Mjini Ole Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.