Habari za Punde

Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba

 WAANDISHI wa Habari  wa Vyombo mbali mbali vya habari vya Serikali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja wakati wa Kikao cha pamoja cha kutathmini mafanikio na changamoto zao katika utendaji wa kazi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 ANDISHI wa Habari Mwandamizi Kutoka Idara ya Habari Maelezo Pemba Mohamed Khalfan Ali, akisoma gazeti la Zanzibarleo wakati wa kikao cha pamoja na Mdhamini Wizara ya habari Pemba, juu ya kutathmini Changamoto na Mafanikio kwa waandishi wa habari wa vyombo vya Serikali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Idara ya Habari Maelezo Pemba Jamila Abdalla Salim, akiwakaribisha waandishi wa habari katika kikao cha Pamoja na Afisa mdhamini wa Wizara ya Habari Pemba, Khatib Juma Mjaja kikao cha kutathmini Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja, akizungumza na waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali juu ya kutathmini Changamoto na Mafanikio katika utendaji wao wa kazi..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja, akisoma baadhi ya vipengele vilivyomo ndani ya Mkataba wa utoaji wa huduma kwa uuma, kwa waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali juu ya kutathmini Changamoto na Mafanikio katika utendaji wao wa kazi..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.