Wasanii maarufu wa michezo ya kuingiza Kisiwani Pemba, Mwinyi Mpeku na Kachara kutoka Kampuni ya Jufe Film Production , wakitowa burudani yenye maudhui ya mafunzo juu ya kupinga magendo ya Karafuu , katika hafla ya uzinduzi wa msimu mpya wa uvunaji wa Karafuu kwa msimu wa mwaka 2018-2019 uliofanyika huko katika kijiji cha Ngomeni Pemba.
Kikundi cha Sarakasi cha Kampuni ya Jufe Film Production, kikitowa burudan wakati wa uzinduzi wa msimu mpya wa uvunaji wa Karafuu kwa msimu wa 2018--- 2019 , iliofanyika katika kijiji cha Ngomeni Chake Chake Pemba.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA,
No comments:
Post a Comment