Habari za Punde

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali Afungua Mkutano wa 16 wa Tiba Asilia Barani Afrika.

 Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar, Mhe.Amina Salum Ali akitembelea maonesho ya Waganga wa Tiba Asilia Zanzibar wakati wa sherehe za Maadhimisho ya 16 ya Tiba Asilia Barani Afrika yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.