Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akiwa na Viongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kushoto Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Bara Mhe Mhe. Japhet Hasunga na kulia Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Bi. Khadija Bakari na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakielekea katika mabanda ya maonesho ya Vyakula na Vitu vya Urithi wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo katika viwanja vya maisara leo.
Mariam Ibrahim aungana na wanawake wa Pwani kufanya usafi Jimbo la Kibaha
Vijijini
-
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, leo Septemba
18 ameungana na Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Pwani katika zoezi la kufagia
viwa...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment