Habari za Punde

Mashabiki wa Timu ya Yanga Zanzibar Wakishangilia Timu Yao Baada ya Kumalizika Mchezo wa Kirafiki na Timu ya Malindi Uwanja wa Amaan Yanga Imeshinda Bao 2-0

Mashabiki na Wapenzi wa Timu ya Yanga Afrika wakiingia Uwanjani baada ya mchezo kumalizika kwa ushindi wa bao 2- 0 dhidi ya Timu ya Malindi ya Zanzibar mchezo wa kumuaga Nahodha wao Haroun Caravano.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.