Habari za Punde

Mgombea wa Uwakilishi Uchaguzi Mdogo Jimbo la Jangombe Kupitia Chama Cha DP. Bi. Ramla Muhadhari Daudi.

Mgombea Uwakilishi Katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Jangombe Zanzibar kupitia Chama Cha DP Bi. Ramla Muhdhari Daud akiwa katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Zanzibar Maisara akisubiri kuchukua Fomu.kujikita katika Uchaguzi huo mdogo unaotarajiwa kufanyika mwezi huu tarehe 27/10/2018.
Msimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Bi. Mwanapili Khamis Mohammed akitowa maelezo ya jinsi ya ujazaji wa Fomu ya kuwania kugombea Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar wakati wa mgombea wake alipofika kuchukua fomu hiyo, kushoto Mgombea wa Uwakilishi wa Chama Cha DP Bi. Ramla Muhdhari akisikiliza kwa makini maelezo hayo.

Msimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Bi. Mwanapili Khamis Mohammed akimkabidhi Fomu ya kugombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Mgombea wa Chama Cha DP Bi. Ramla Muhdhari Daudi, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Tume za Uchaguzi Wilaya ya Mjini Unguja Maisara Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.