Habari za Punde

Wazee Wapata Huduma ya Kucheki Afya Zao Wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani Katika Viwanja Vya Fumba Zanzibar.

 Mfanyakazi wa Kituo cha Macho katika Hospitali ya Mnazi Mmoja akitowa huduma hiyo kwa kumpima mmoja wa Wazee waliohudhuria katika Viwanja vya Mji Mpya wa Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja wakati wa maadhimishi hayo yaliofanyika Kitaifa wiki iliopita. 
Daktari kutoka Hospitali ya Mnazi mmoja akimfanyia uchunguzi wa macho mmoja wa Wazee waliohudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliodhimishwa katika Viwanja vya Mji Mpya Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja. 
Wazee wakisubiri kupata uchunguzi wa Macho kutoka kwa Madaktari wa Kituo cha Macho cha Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.