Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Awapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Cha Nne Kwa Kufanya Vizuri Mitihani Yao Kuibuka na Ushindi wa Division One.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Cha Nne katika viwanja vya Ikulu Zanzibar na kuwakabidhi zawadi na kujumuika nao katika Chakula cha mchana leo.2-10-2018. 
 Baadhi ya Wanafunzi wa Kidatu cha Sita Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwapongeza na kuwazawadia zawadi na kujumuika nao katika chakula maalum aliowaandalia katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimzawadia Mwanafunzi Mwalim Kombo Mwalim  (kushoto) kidato cha Sita Skuli ya SOS katika hafla ya kuwazawadia Wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne na Sita 2017-2018 na kupata Daraja la Kwanza na kula nao pamoja Chakula cha Mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimzawadia Mwanafunzi Hamdoun Sabri Hamdoun  (kushoto) kidato cha Sita Skuli ya SOS katika hafla ya kuwazawadia Wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne na Sita 2017-2018 na kupata Daraja la Kwanza na kula nao pamoja Chakula cha Mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar katika hafla ya kuwazawadia na kuwapongeza wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliofaulu na kupata Daraja la kwanza pamoja kula nao Chakula cha Mchana leo,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.