BOTRA Yafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka, Yajadili Maisha ya Wastaafu na
Mustakabali wa Wanachama
-
*Dar es Salaam, Tanzania* – Chama cha Wastaafu wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOTRA) kimefanya mkutano wake mkuu wa mwaka ukiwa na lengo la kujadili
maende...
25 minutes ago
Kwanza nikupongeze kwa kutupa habari sisi tuliopo nje ya nchi.
ReplyDeleteIla kuhusu siasa Bora usirushe , maana Kama ni wa Chama cha CCM tu, basi Bora uachane nazo kwa maana tuna mfumo wa vyama vingi Kaká yangu.
Ahsante ni hayo tu kwa leo.