Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekitri wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Hospitali ya Kivunge wakati wa ziara yake kutembelea Wodi ya Wazazi ya Watoto Njiti akiwa katika viwanja vya hospitali hiyo,kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hamad Rashid Mohammed na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai Mwinyi wakielekea katika Wodi ya Wazazi ya Watoto Njiti katika hospitali hiyo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali Mzazi aliyejifungua Watoto Watatu Njiti Bi. Mwanahawa Juma Mussa, alipofika kuwajulia hali akiwa katika ziara yake ya kutembelea Hospitahi hiyo ilioka katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. akipata maelezo kwa Daktari wa Wodi hiyo Dr. Sharifa Mohammed Mwinyi, katikati Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali Mzazi wa Mtoto Njiti katika Wodi ya Wazzazi Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja Bi. Asma Haji Hafidh, akiwa na Mtoto wake katika Wodi hiyo kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na kulia Daktari ya Wadi ya Wazazi ya Watoto Njiti Dr. Sharifa Mohammed Mwinyi.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia na kumjulia hali Mzazi Bi. Tatu Simai Kombo,akiwa amelezwa katika Wodi ya Wazazi baada ya kujifungua Mtoto Njiti, katika hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akitoka katika Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Kivynge Zanzibar baada ya kuwatembelea Wazazi wa Watoto Njiti katika Hospitali hiyo
Picha na Zanzinews.Blog.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.