Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Klinik ya Meno Katika Hospitali ya Kivunge leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizindua Klinik ya Mane katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na kushoto Dr. Feroz Jafferij, wakishuhudia uzinduzi huo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizindua Klinik ya Mane katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na kushoto Dr. Feroz Jafferij, wakifurahia baada ya uzinduzi huo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Klinik ya Meno katika Jengo la Hospitali ya Kivunge Zanzibar Mkoa wa Kaskazini Unguja, kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed.

Baadhi ya Madaktari katika hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakishuhudia Uzinduzi huo wa Klinik ya Meno, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiinzindua leo katika majengo ya Hospitali ya Kivunge Zanzibar.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.