Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Mgeni Wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh   Saud bin Saqr  Al  Qasimi   (kushoto) wakati   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka nchi akimaliza ziara yake akiwa na ujumbe wa Viongozi  mbali mbali aliofutana nao,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh   Saud bin Saqr  Al  Qasimi   (kushoto) wakati   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka nchi akimaliza ziara yake akiwa na ujumbe wa Viongozi  mbali mbali aliofutana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh   Saud bin Saqr  Al  Qasimi   (kushoto) wakati   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka Nchini akimaliza ziara yake na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali aliofuatan nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh   Saud bin Saqr  Al  Qasimi   (katikati) wakiwa katika picha baada ya mazungu mzo na Viongozi wengine yaliyofanyika Ikulu mjini Zanzibar leo kabla kumaliza ziara yake Nchini [Picha na Ikulu.] 24/10/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.