Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.Dk. Ali Mohamed Shein Akifunga Kampeni za CCM Katika Viwanja vya Muembematarumbeta Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombe Uwakilishi Uchaguzi Mdogo Jimbo la Jang'ombe wakati wa Ufungaji wa Kampeni za CCM katika viwanja vya muembematarumbeta Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwasili katika viwanja vya Mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Uwakilishi Jimbo la Jang'ombe Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya muembematarumbeta Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.