Habari za Punde

Vijana wa Tawi la CCM la Dk. Shein Jojo Waimarisha Kilimo Cha Migombe.

Afisa Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Bi.Fatma Hasmad Rajab, katikati akitembelea na kuangalia Shamba la Migomba la Vijana wa CCM Tawi la Dk. Shein Jojo Wilaya ya Wete Pemba akiwa katika ziara yake kuangalia miradi ya Vijana.   
Afisa Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akimjulia hali mwasisi wa CCM katika kijiji cha Jojo Wilaya ya Wete, wakati alipomtembelea nyumbani mwake mzee Hamad Hamad Kombo, ambaye kwa sasa hajiwezi tena
.(Picha na Abdi  Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.