Habari za Punde

Wananchi wa Maeneo ya Nyerere na Sebleni Kupata Faraja Baada ya Kumalika Mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa Maji Katika Maeneo Hayo Hujaa Maji Kipindi Cha Mvua za Masika Zanzibar.

Mradi wa Ujenzi wa Mitaro ya Maji Machafu katika maeneo ambayo hujaa maji wakati wa kipindi cha Mvua za Masika katika maeneo ya Zanzibar.Tayari tatizo hilo limemepatikana ufumbuzi wake kwa kuendelea na ujenzi huo wa Mitaro hiyo unaofanywa kupita Wajenzi wa Kampuni ya Kichina ya CRJE wakitekeleza ujenzi huo katika moja ya eneo hilo katika sehemu ya sebleni ambalo hujaa maji na kuwalazimu Wananchi kuhama makazi yao.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.