Habari za Punde

Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yavutia Wengi Kisiwani Pemba.

Waziri wa Kilimo , Maliasili . Mifugo na Uvuvi  wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rashid Ali Juma , akiwa katika banda la Bodi ya Mapato Zanzibar ( ZRB) huko Chamanangwe Pemba kwenye Maonesho ya Siku
ya Chakula Duniani .
Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi Kisiwani Pemba wamepata fursa kutembelea Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani katika viwanja vya Chamanangwe, Wilaya ya Micheweni Pemba. 

Mwakilishi wa jimbo la Mgogoni Pemba, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Shehe Hamad Mattari, akiangalia nguo aina ya Suti  katika Banda la Maonesho ya siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Pemba.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.