Habari za Punde

Mwakilishi wa WHO Nchini Tanzania Dkt. Tigest Azungumza na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Mwakilishi wa WHO Nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu alipofika ofisini kwake Mnazimmoja kujitambulisha (kulia) Mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt.  Andemichael Ghirmay Redae 
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Mwakilishi wa WHO Nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu alipofika ofisini kwake Mnazimmoja kujitambulisha 
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hamad Rashid Mohamed akiagana na Mgeni wake Mwakilishi wa WHO Nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati mwakilishi huyo alipokwenda kujitambulisha kwa Waziri.
Picha na Makame Mshenga 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.