Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini

 Balozi  wa  Nchi  ya  Falme  za  Kiarabu  hapa  nchini, Khalifa  Abdulrahman Mohamed  Al- Marzooqi (kushoto),  akizungumza  na  Naibu  Waziri  wa  Mambo  ya  Ndani ya  Nchi ,Mhandisi  Hamad  Masauni  kuhusu ushirikiano wa nchi  hizo  mbili katika  masuala ya Ulinzi na Usalama, baada  ya  kumtembelea  katika  Ofisi Ndogo  za  wizara  hiyo, jijini  Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Ubalozi huo, Saddam Ahmed Ally. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Naibu  Waziri  wa  Mambo ya  Ndani  ya  Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia),  akizungumza  na  Balozi  wa  Nchi  ya  Falme  za  Kiarabu  hapa  nchini, Khalifa  Abdulrahman  Mohamed  Al- Marzooqi (kushoto)   kuhusu ushirikiano wa nchi  hizo  mbili katika  masuala  ya  Ulinzi  na  Usalama, baada  ya  kumtembelea  katika  Ofisi  Ndogo  za  wizara  hiyo,  jijini  Dar es Salaam. Katikati   ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Ubalozi huo, Saddam Ahmed Ally. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Balozi  wa  Nchi  ya  Falme  za  Kiarabu  hapa  nchini, Khalifa  Abdulrahman Mohamed  Al- Marzooqi  akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili katika Ofisi  Ndogo  za  Naibu  Waziri  wa  Mambo ya  Ndani  ya  Nchi, Mhandisi Hamad  Masauni (kushoto), jijini  Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.