Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt. John Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongoza kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM kilichokutana jijini Dar es salaam leo Novemba 17, 2018

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.