Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akielezea kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa na utekelezaji wa Bajeti
ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 katika kipindi cha Julai-Novemba, 2018), ambapo
alisema Tanzania inaendelea kuwa miongoni mwa nchi tano zinazokua kwa kasi
kiuchumi Barani Afrika, wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Benny
Mwaipaja, akielezea jambo kabla ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip
Isdor Mpango (Mb), kuzungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa na utekelezaji wa Bajeti
ya Serikali kwa mwaka 2018/2019, kwa kipindi cha Julai - Novemba, 2018, katika
ukumbi wa Wizara hiyo, Jijini Dodoma.
Baadhi
ya Viongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango na Wadau wengine wakifuatilia kwa
makini Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa na utekelezaji wa Bajeti ya Serikali
kwa mwaka 2018/2019, kwa kipindi cha Julai - Novemba, 2018, wakati wa Mkutano kati
ya Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waandishi wa Habar,i katika Ukumbi wa Wizara ya
Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.
Waandishi wa Habari wakiwa katika Mkutano na Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kuhusu Hali ya
Uchumi wa Taifa na utekelezaji wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019, kwa
kipindi cha Julai - Novemba, 2018,
Jijini Dodoma.
Waandisi wa Habari
wakifuatilia kwa makini maelezo ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip
Isdor Mpango, kuhusu Hali ya
Uchumi wa Taifa na utekelezaji wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019, kwa
kipindi cha Julai - Novemba, 2018ambapo alisema katika kipindi cha Januari hadi Juni 2018, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia
7.0 ikilinganishwa na asilimia 6.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2017.
Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (katikati), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa
Habari Jijini Dodoma, kuhusu ufadhili wa wahisani ambapo alisema Wahisani wengi
wanamasharti magumu hivyo akasisitiza umuhimu wa wananchi kulipa kodi ili nchi iweze
kujitegemea.
Meza
Kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip
Isdor Mpango(Mb), (katikati), wakifuatilia kwa makini baadhi ya maswali ya
Waandishi wa Habari kuhusu taarifa iliyotolewa ya Hali ya Uchumi wa nchi na
Utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango,
Jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Fedha na Mipango)
No comments:
Post a Comment