Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama marumru aina ya  Twyford wakati alipotembelea kiwanda cha Keda kilichopo Chalinze mkoani Pwani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Keda kinachotengeneza marumaru aina ya Twyford kilichopo Chalinze mkoani Pwani, Desemba 7, 2018.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zaynab Kawawa na wapili kukhoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho,Tony Zhifan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama marumru aina ya  Twyford wakati alipotembelea kiwanda cha Keda kilichopo Chalinze mkoani Pwani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya kutengeneza marumaru aina  ya Twyford wakati alipotembelea kiwanda cha Keda kiloichopo Chalinze Mkoani Pwani, Desemba 7, 2018.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi , Evarest Ndikilo na watatu kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda, Tonny Zhifan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Keda kinachotengeneza marumaru aina ya Twyford kilichopo Chalinze mkoani Pwani, Desemba 7, 2018.  Wapili  kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo, Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zaynab Kawawa na wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho,Tony Zhifan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.